
simulizi za kweli 1 - Kilele cha Ubepari na Tishio la Ushoga
bij 1 winkel
Verwant
Streepjescode: 1230002996370
Alle aanbiedingen
- bol.comsimulizi za kweli 1 - Kilele cha Ubepari na Tishio la UshogaNaar de winkel€ 2,81Op voorraad
We verdienen mogelijk commissie als je via deze link koopt. Wat jij betaalt verandert niet.
Over dit product
KILELE CHA UBEPARI NA TISHIO LA USHOGA AFRIKA Kitabu hiki kinaelezea maisha halisi ya mwananchi wa hali ya chini katika bara la Afrika, ususani chini ya ya jangwa la sahara. Harakati zao za kujinasua katika umasikini uliokisiri? Ni Kwa nini umasikini unazidi kuongezeka ndani ya bara letu lenye kila aina ya rasilimali? Je ni kwa nini wanasiasa wamekuwa vigeugeu?. Nani anayeanzisha maandamano ya ukombozi katika nchi nyingi za Africa? Lengo la kuleta ushoga Africa nini? Ni nani wa kulaumiwa katika hili? Kitabu hichi kimechambua kwa undani nini cha kufanya ili kujikomboa katika hili janga lilokumba bara letu la africa. Hapa tulipo sasa ni KILELE CHA UBEPARI KATIKA BARA LETU.(KILELE CHA UBINAFSI WA MALI)
Omschrijving aangeleverd door bol.com.