Wingi wa Upendo wa Mungu
bij 1 winkel
Verwant
Streepjescode: 9781763711815
Alle aanbiedingen
- bol.comWingi wa Upendo wa MunguNaar de winkel€ 12,50Op voorraad
We verdienen mogelijk commissie als je via deze link koopt. Wat jij betaalt verandert niet.
Over dit product
Kuhisi kutelekezwa, kutokuwa na thamani, au kupotea...? Katikati ya dhoruba, tukizidiwa na ukali wa hali halisi ya hii dunia - na mateso yetu ya kila siku - upendo wa Mungu unaodaiwa uko wapi? Ukweli utaimarisha imani yako na kuimarisha tumaini lako. Hata wakati hali zetu hazifanani na nchi ya ahadi, Yeye hutuongoza na kutulinda. Ijapokuwa familia inaweza kutuacha, upendo mwingi wa Mungu hubaki: haijalishi sisi ni nani, tumetoka wapi, au tumefanya nini. Katika dhoruba zilizojaa maumivu, huzuni na hasara, tunaweza kumgeukia Mungu wetu mwenye upendo... mlinzi wetu na mrejeshaji wetu... Bwana anayezitawala dhoruba.Sifa kwa WINGI WA UPENDO WA MUNGU: ... uchunguzi wa kina wa upendo wa mungu na athira zake katika maisha yetu - Sabrina B, mchungaji wa gereza... mtazamo ulio wazi juu ya kile kinachoweza kupunguza huzuni, machozi na hasara - Denise B, muuguzi mstaafuBimeandikwa vizuri - Tess G, daktari wa magonjwa ya akili
Omschrijving aangeleverd door bol.com.