UKIRI - Nguvu Ya Ukiri
bij 1 winkel
Verwant
Streepjescode: 1230006802028
Alle aanbiedingen
- bol.comUKIRI - Nguvu Ya UkiriNaar de winkel€ 9,35Op voorraad
We verdienen mogelijk commissie als je via deze link koopt. Wat jij betaalt verandert niet.
Over dit product
Kitabu hiki cha “Nguvu Ya Ukiri” kimegawanyika katika sehemu mbili kuu: Sehemu ya kwanza, ambayo inalenga kujenga na kuimarisha imani yako kwa kukupatia ufahamu sahihi kuhusu ukiri na jinsi ambavyo unatenda kazi. Na sehemu ya pili, inaundwa na kiri mbali mbali ambazo zimetengenezwa maksusi ili kubadilisha maisha yako milele! Kiri hizo ni mwanzo tu wa kukufundisha na kukusaidia ili uweze kubadilisha ukiri wako na hivyo kuruhusu uzima, baraka na mema aliokusudia Mungu kutenda kazi katika maisha yako. Baada ya wewe kupata uzoefu na kuonja matunda ya ukiri sahihi, ninaamini utaweza kutengeneza kiri zako mwenyewe za kuongezea sawasawa na vile ambavyo umekusudia kuumba ulimwengu wako ukishiriana na Ufalme wa Mungu.
Omschrijving aangeleverd door bol.com.