
KUMBUKA: Safari ya Kujitambua na Kutawala Ulimwengu Wako
bij 1 winkel
Verwant
Streepjescode: 9789997579935
Alle aanbiedingen
- bol.comKUMBUKA: Safari ya Kujitambua na Kutawala Ulimwengu WakoNaar de winkel€ 6,49Op voorraad
We verdienen mogelijk commissie als je via deze link koopt. Wat jij betaalt verandert niet.
Over dit product
Je, umewahi kujiuliza kwa nini kuna watu ambao mafanikio na utulivu vinawafuata kwa wepesi, wakati wengine wakiishi maisha ya mapambano yasiyoisha? Thamani ya mwanadamu na siri ya uhuru wa kweli havipo nje yetu—vipo ndani yetu. "Kumbuka: Safari ya Kujitambua na Kutawala Ulimwengu Wako" si kitabu cha motisha cha siku chache, bali ni mwongozo wa kina wa kisaikolojia na kiroho unaokualika kurudi kwenye uwepo wako halisi kabla dunia haijakufundisha kujificha. Kupitia kurasa hizi, Kelvin Ngonyani anakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya kuvunja mifumo ya zamani ya hofu (reprogramming), kuamsha uwezo wako wa ndani (uumbaji), na kubadilisha mawazo kuwa thamani halisi inayotengeneza utele na uhuru wa kifedha. Huu ni wakati wako wa kuacha kutafuta maisha na kuanza kuyaishi. Kumbuka wewe ni nani, na uchukue uwajibikaji kamili wa kusimamia ufalme wako!
Omschrijving aangeleverd door bol.com.