Naar de inhoud
GiftCoves
sayansi ya kumzaa mtoto mwerevu

sayansi ya kumzaa mtoto mwerevu

€ 2,99

bij 1 winkel

Streepjescode: 9788835372110

Alle aanbiedingen

  • bol.com
    sayansi ya kumzaa mtoto mwerevu
    € 2,99
    Op voorraad
    Naar de winkel

We verdienen mogelijk commissie als je via deze link koopt. Wat jij betaalt verandert niet.

Over dit product

Kim Ung-yong alizaliwa nchini Korea ya Kusini katika jiji la Seoul. Alipokuwa na umri wa mwaka mmoja tu, tayari alikuwa amejifunza alphabeti za Kikorea na maumbo (characters) 1,000 ya lugha ya Kichina. Alipofikisha umri wa miaka mitatu alikuwa anaweza kufanya hisabati ngumu za mada ya 'calculus'. Kim alipofikisha umri wa miaka mitano, tayari alikuwa ametunga, kuchapisha na kuuza kitabu chake cha kwanza. Ni katika umri huo wa miaka mitano Kim alikuwa akiongea vizuri lugha za Kikorea, Kijapani, kingereza, Kifaransa na Kijerumani! Kitabu hiki kimesheheni mifano ya watoto waliozaliwa na akili za juu kama Kim. Hawa ni watoto ambao kila mzazi angetamani kuwanao. Ni kweli kwamba, sababu za vinasaba 'genetic' zaweza kuwa moja ya vyanzo vya mtoto kuzaliwa na akili za juu kuliko kawaida (more than 100% of IQ), lakini tafiti za kisayansi zinamletea mzazi kanuni nyepesi za kumwezesha kumzaa mtoto mwerevu. Ni dhahiri kwamba, haiwezekani kubadilisha vinasaba vilivyomo katika seli za baba au mama ili apatikane mtoto mwenye akili za juu za kipekee, lakini, wenza wawili wanayo nafasi ya kuchaguana kwa kujali ubora wa mbegu za kiume na ubora wa mayai kwa jinsia ya kike: Hapo swala la umri wa wenza; uwiano wa umri baina yao; na katika umri upi wapate mtoto na umri upi wasizae kabisa ni mambo ya msingi. Hilo limeongelewa kwa mapana. kitabu pia kinamuongoza mzazi katika kanuni za kuboresha homoni 'hormones' zinazohusiana na ujenzi wa ubongo na akili kwa ujumla. Kitabu kinaaza na homoni za mama na kisha homoni za mtoto mwenyewe. Aidha, kitabu kinaelezea namna ya kutengeneza mazingira ya mtoto kuanzia mazingira ya tumboni mwa mama na mazingira ya baada ya kuzaliwa. Kanuni hizo na zingine kadhaa ndizo mada zilizomo katika kitabu hiki. Ni bayana kwamba kwa kiwango kikubwa, ukosefu wa maarifa,…

Omschrijving aangeleverd door bol.com.

Inloggen

Vul je e-mailadres in en we sturen je een link. Geen wachtwoord om te onthouden.

Doorgaan met Google
of