Wingi wa Upendo wa Mungu
dans 1 boutique
À voir aussi
Code-barres: 9781763711822
Toutes les offres
- bol.comWingi wa Upendo wa MunguVoir la boutique4,98 €En stock
Nous pouvons percevoir une commission si vous achetez via ce lien. Le prix que vous payez ne change pas.
À propos de ce produit
Kuhisi kutelekezwa, kutokuwa na thamani, au kupotea...? Katikati ya dhoruba, tukizidiwa na ukali wa hali halisi ya hii dunia - na mateso yetu ya kila siku - upendo wa Mungu unaodaiwa uko wapi? Ukweli utaimarisha imani yako na kuimarisha tumaini lako. Hata wakati hali zetu hazifanani na nchi ya ahadi, Yeye hutuongoza na kutulinda. Ijapokuwa familia inaweza kutuacha, upendo mwingi wa Mungu hubaki: haijalishi sisi ni nani, tumetoka wapi, au tumefanya nini. Katika dhoruba zilizojaa maumivu, huzuni na hasara, tunaweza kumgeukia Mungu wetu mwenye upendo... mlinzi wetu na mrejeshaji wetu... Bwana anayezitawala dhoruba. Sifa kwa WINGI WA UPENDO WA MUNGU: ... uchunguzi wa kina wa upendo wa mungu na athira zake katika maisha yetu - Sabrina B, mchungaji wa gereza ... mtazamo ulio wazi juu ya kile kinachoweza kupunguza huzuni, machozi na hasara - Denise B, muuguzi mstaafu Bimeandikwa vizuri - Tess G, daktari wa magonjwa ya akili
Description fournie par bol.com.