
Ujasiriamali - Kuanzisha Biashara Endelevu
dans 1 boutique
À voir aussi
Code-barres: 9798215382028
Toutes les offres
- bol.comUjasiriamali - Kuanzisha Biashara EndelevuVoir la boutique2,99 €En stock
Nous pouvons percevoir une commission si vous achetez via ce lien. Le prix que vous payez ne change pas.
À propos de ce produit
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru walio saidia kufanikisha uchapishaji wa hiki kitabu. Kitabu hiki kimetayarishwa kutokana na mwitikio mkubwa niliopata, kutoka kwa wadau, walio ona video yangu inayoitwa 'Jinsi ya kuanzisha biashara mpya" Video inapatikana kwenye You Tube Channel Nimekuwa nikipata simu pamoja na SMS messages nyingi kutoka kwa wadau ambao wamekumbana na chanagamoto mbali mbali, wakati wakiwa katika harakati za kuanzisha biashara mpya Kuna baadhi ya wajasiriamali wanadhani kuwa, unapokuwa unao mtaji wa kutosha, basi unaweza kuanzisha biashara na kupata mafanikio. Hayo ni mawazo yanayo potosha, kwa kuwa kuna taratibu ambazo zinatakiwa kufuata ili mafanikio yapatikane Hiki kitabu kinaeleza taratibu za kufuata, ili ufanikiwe kuanzisha biashara yenye mafanikio.
Description fournie par bol.com.